Usiku wa TMA 2022 Alikiba Aweka “Historia” Ashinda Tuzo Tano




 Usiku wa tarehe 2 April, Ulikuwa usiku mzuri sana Kwa kiwanda cha mziki wa Tanzania , Pamoja na msanii Alikiba baada ya kujishindia tuzo tano ,na kuwa msanii wa kwanza kuibuka na tuzo nyingi kuliko Wasanii wote.


Vipengele alivyoshinda Alikiba ni pamoja na 

1.Best album of the year (OOK)

2.Best video of the year (Salute)

3.Best Artist EA

4.Best music composer 

5. Best Artist (peoples choice)

Wasanii Wengine waliojishindia tuzo ni pamoja na #SARAPHINA (Best female performer) #RAPCHA (Best upcoming male artist) #SHOMADJOZ(Best Southafrica artist)#YOUNGLUNYA(Best hiphop Artist of the year) #NANDY(Best female artist, Peoples choice) Pamoja na Wengine kibao .

Ikumbukwe kuwa nchini Tanzania  takribani miaka 10 iliyopita kulikuwa hakuna tuzo, hivyo tuzo zimerudi kwa kishindo na hii imekuwa chachu kwa Wasanii wanaochipukia kupambana ili kuweza kufikia malengo.

Tutaendelea kukujuza kinachoendelea , Endelea kufuatilia #atmuzikiiafrica ,quality entrainment news for all .


Post a Comment

0 Comments