Kutoka Kwenye Ukurasa wa Diamond PLatnumz ambae anafanya vizuri na Ep yake ya FOA ( First of All) ameonekana kuto Kupendezwa na Kitende au Teuzi ya Muigizaji Steve Nyerere kama Msemaji wa shirikisho la Mziki Tanzania Kupitia Insta Story yake Mwanamuziki Diamond PLatnumz ameandika
“ Muziki ni kazi Muziki ni Ajira na Ni mkombozi wa Vijana wengi ambonleo hii wana saidia Familia zao, Lakini pia Kuchangia pato la taifa...... Kuichezea Sanaaa ni Kuichezea Nchi kwenye Ujira wa vijana .......”




0 Comments